Series (Special thread)

kwa kipindi hiki naona hakuna series nzuri zinazotoka. wacha nipige movies kwanza
 
Akili kubwa ya Einsten au?????
Kwamba yale mafarasi na mapanga kuangalia watu wanapigana tu inahitaji akili kubwaa????


Acha utani kijanaa kuna series zinahitaji akili lakini huo Upuuzi unahitaji Mtu ambae yeye series anaangalia ili mradi kaangalia tuu... Hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya series ambazo zinaboa sana unapoanza kuzingalia ni GoT na Breaking Bad... yaani ni kama parachichi vile! Hizi zote unatakiwa kuwa na roho ngumu kuangalia episodes za awali!

Kwa bahati mbaya sana, huwezi kutaja series 10 bora duniani ukaziacha GoT na Breaking Bad... huo ndio ukweli wenyewe! Aidha orodha iandaliwe na watazamaji au wataalamu wa filamu... zote hizo utazikuta kwenye orodha yoyote ile, tena zikiwa juu juu!
 
Breaking Bad niliielewa na mpaka Leo naendelea kuingaliaa...!! Yani kuna GOT na Last ship nilishindwa kuendelea nazo..
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…