Series (Special thread)

Sasa hutaki apendeze mkuu.....si anakwambia yeye ni Analyst sasa analyst sio mtu wa kazi kama zile
Jack sio field man, ni analyst na mavazi yake yanaendana na kazi yake. Mara nyingi mavarangati yanamkumba akiwa ktk kazi yake ya analysis na ndipo huchafuka. Huwezi kumfananisha Jack na Bauer wa 24 ambaye yeye anafanya multiple tasks na akiwa field ni mtiti wa maana. Au umfananishe Jack na Brody wa Homeland, tasks zao zinatofautiana!
 
Sure Mkuu.....
 
Jack Ryan ni namba 1 kati ya Series zilizotoka mwaka huu (Nenda katazame TechGumbo YouTube) hutaki, njoo tupigane.
 
Sasa shooter iliharibu kitu gani?
walizingua ile series ya shooter main story ilishaisha ila kwa kutubabaisha watazamaji wakaitungia story ya season 2 matokeo yake ikapoteza watazamaji kama ilivyokua kwa vampire diaries arrow, empire( yani hii ndo najuta ata itazama kabsa ) the flash
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…