Wanaotumia Terrarium baada ya marekebisho watupe shule kwa urahisi namna ya kuitumia tena as hii Teatv naona ka inausumbufu mkubwa, haiko stable kabisa japo nimedownload hadi ADM.Nafikiria vip jamaa wapande ndege kutoka jamaica leo halaf wafike after 5 years?? Daah hawa watu wanajua kuigiza bhana wanakuacha na maswali kichwani kila ep inayopita,,sasa ule mzimu naona umeanza kuwatandika watu risas za vichwa,sijui yule mtoto alipata ishara gan kumchora yule kivuli
Hapana Mkuu itarudi,sema AMC ratiba zake hazieleweki aiseeh wanasema mpaka the walking dead iende BreakHivi Into The Badland ndo wameicancell au
Mkuu ile kitu tuliimaliza muda....tunasubiri season 02 mwakani maana walisharenewKuna mtu yeyote kaangalia Condor?!
Kwani the walking dead ipo kwa hewa kwa sasa??Hapana Mkuu itarudi,sema AMC ratiba zake hazieleweki aiseeh wanasema mpaka the walking dead iende Break
Ndio mkuu season ya 9Kwani the walking dead ipo kwa hewa kwa sasa??
Kwani the walking dead ipo kwa hewa kwa sasa??
Pia mimi...imenichanganya asee....hi epsode imekua na matukio mengi adi nimepoteza mwelekeo....but itabidi niirudie kuicheki..ili nipate connection zaidiiLeo last imenichanganya changanya tu
Nikupe namba mkuuhivi hakuna sehem ambayo unaweza pata series tofauttofaut kwa DSM.
me kupakua kunachosha aisee.
Nipe man.Nikupe namba mkuu
Nilijua tu hii lazima kuna watu watavurugwa.. Ila kwa wale tuliowahi kuangalia Lost vipande vya namna hii havitusumbui fasta tu unaelewa..Leo last imenichanganya changanya tu
dah mkuu hio ni bonge ya series aisee zipi zingine unazozipenda> mi nmechekiKuna series inaitwa House of Cards, kuna mtaalam Underwood humo, ana visanga hatari, japo inahusu politics ila ni noma sana
dah mkuu hio ni bonge ya series aisee zipi zingine unazozipenda> mi nmecheki
the wire
the bloodline
the americans
the west wing
aisee mi nasubiri muendelezo wa zifuatazo
1. Homeland
2. Game of Thrones
3. Revolution
4. 24
download link please.Hivi kuna mtu anaangalia kitu cha Black Earth Rising? Inahusu ishu ya genoside iliotokea Rwanda. Nimeanza nayo mpaka sasa ep 2 iko vizuri . Itafuteni