Series (Special thread)

Kwa mwaka 2018 series kali ya masuala ya intelejensia ya kukusanya taarifa, kuzichanganua na kuzitumia ili kulinda usalama wa nchi na raia wake series iendayo kwa jina la : Tom Clancy's Jack Ryan season 1 : imetia fora.
 
Kiongozi nakuomba usijilimit kwa kuamua kua fun wa aina fulani tu ya tv shows. Unajima kujua mengi. Ukiskia watu wanasifia series kua ni kali take yur time kuangalia
1. Trailer lake
2. Comment za watu ie youtube
3. Ratings yake ie imdb au rotten tomato
Niamini mimi ukifanya hiv utajua show gani ya kuangalia na ipi ya kupotezea bila kujali we ni mpenz wa genre gani.
 
Kwa mchakamchaka...24 bado naipa high ranking sana. Jack Ryan nimeipenda pia....ingawa naona ina emotion moments nyingi...na few hard decisions. Katika scene nilizozipenda hadi sasa ni pale wanamchukua yule mama na watoto wake beach...it was so interesting jinsi yule mdau mwenye danguro jinsi alivohandle ile situation.....it was so interesting....!
 
Sawa kabisa 24 jack mawajina wanafanya vitu vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…