Msaada! Idm niliyokua natumia ilikuwa cracked, kuna siku nilijichanganya nika update baada ya hapo imekuwa ni kizungumkuti kila nikidownload na kuinstall inazingua balaa. Mkuu hebu nipe wazo
Baada ya JF kutokuwa hewani palianzishwa group ya WhatsApp kwa ajili ya kubadilishana taarifa kuhusu *movies* na *series*. Kiunganishi ni hili; Movies & Series Club kama unapenda kujiunga