Series (Special thread)

Umeishia ya ngapi?? Ipo mpaka ya 15 terrarium inanionyesha hivo

hata mimi nimeangalia kupitia terrarium inaonyesha mpaka 15 lakini kuanzia 14 inagoma haionyeshi...ila ukianza season 2 inaanzia pale pale ilipoishia episode 13.
 
Wow...thanks

I was sick and about to die

😛..ha ha ha na mimi nilikuwa hivyo hivyo najiuliza season 2 imetoka halafu sijamalizia episod 14 & 15...kuna kucheki NETFLIX imeishia hapo hapo..kama ukiangalia vizuri episode ya 13 wanasema to be continued.

ukimaliza seaso ya 2 jaribu kuchungulia hii kitu LA REINA DEL SUR ni ya kispanish na mexico bado nipo season ya 1 ipo mpaka episode 40..
 
Yes,niliona.Yaani nimefurahi mno.

Episode 40!!?mmmh hiyo inahusu nini?
 
Hapa leo ni kuwahi kurudi home niangalie the 100 kabla ya mpira
 
Nimekuonaaa, nifundishe namm jinsi ya kudownload
Kwanza nenda google halaf ipakue hii app ya Terrerium Tv,ukishaipakua hakikisha simu yako pale kwenye setting umepafungua sehem iliyoandikwa Unknown Source,,then uje hapa jukwaan kwa muendelezo
 

Attachments

  • Screenshot_20180427-015059.png
    26.6 KB · Views: 51
  • Álvaro Morte 421516.jpg
    11.1 KB · Views: 59

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…