Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
Anza kuangalia lethal weapon, ukutane na familia ya Roger murtaugh utacheka kinomaAisee nampenda Patterson,Hawezi mdate mtu mfupi kama rich dot com.
Blindspot wananipa arosto kishenzi yaani. Wako break mpaka mwezi march
Ina mikong'oto??? Au drama drama tu?Anza kuangalia lethal weapon, ukutane na familia ya Roger murtaugh utacheka kinoma
Ni crime n drama series kama ilivyo blindspot ila yenyewe ina comedy kidogoIna mikong'oto??? Au drama drama tu?
Kama unapenda spies muvies hii ni kiboko, ila weka mbali na watoto.. Na kuna hio moja stranger thing ni nzuri ila ya kitoto kitoto maana main characters ni watoto age kama 10 hvIna mikong'oto??? Au drama drama tu?
Saivi naangalia the Americans, inazungumzia ile cold war ya Russia vs USA... Kuna maspy kule sijawahi ona
One of the genius motherfucker in series i known, baada ya wellington MillerNamkubal sana huyu mtu... Yan he is genius pertson mwenyewe akikwama huwa anamfata jamaa
Source pleaseWashaweka updates season 05 utakuwa na episode 10..lakini bado hawajatangaza itaanza lini...ni mwaka huu tho
Kali kiasi chake, tulia nayo tuuMkuu hio homeland ni kali sana??
Maana niko natafuta series ya kudownload baada ya voda kunizawadia gb 10
Ingia google search jina la series then malizia na srt mfano "The last ship srt", itakueletea mafile ya subtitles, ukiplay vlc unafungua na file la subtitles unakua umezipata mkuu.Wakuu hvi unapataje subtitles, napendaga kufuatilia through subtitles.
Extratorrent ilikuaga sehemu yangu ya kupakulia baada ya kufungiwa natumia 1337x.toJamani nilikuwa natumia extra torrent kupakua vitu. Lakini imegoma sasa. Msaada tafadhali
Naona wafupi tumekosa credit hapaAisee nampenda Patterson,Hawezi mdate mtu mfupi kama rich dot com.
Blindspot wananipa arosto kishenzi yaani. Wako break mpaka mwezi march
Mkuu hii 1337x. unatumiaje, mbona sijaielewa, Series nashindwa kuziona, naomba unielekezeExtratorrent ilikuaga sehemu yangu ya kupakulia baada ya kufungiwa natumia 1337x.to
Cops issuesIna mikong'oto??? Au drama drama tu?
Install u torenti kwanza.Mkuu hii 1337x. unatumiaje, mbona sijaielewa, Series nashindwa kuziona, naomba unielekeze
Naona wafupi tumekosa credit hapa