Series (Special thread)

Kuna mzigo mpya unaitwa Counterpart umeanza this Jan una episode 2...tupeane taarifa kama yupo alietia mguu huko
Na kuna mzigo wa wachawi wachawi sijui utakuwa kama GOT unaitwa BRITANNIA wapenda hizo mambo checkini mzigo huo.
Counterpart mascience-fiction inaonekana tamu ngoja nisubiri itembeetembee kwanza.
 
Kuna mzigo mpya unaitwa Counterpart umeanza this Jan una episode 2...tupeane taarifa kama yupo alietia mguu huko
Na kuna mzigo wa wachawi wachawi sijui utakuwa kama GOT unaitwa BRITANNIA wapenda hizo mambo checkini mzigo huo.
Counterpart nimecheki episode ya 1 iko vizuri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…