Series (Special thread)

Kuna mtu anaangalia Knightfall?!
Naifuatilia kwa karibu ila bado kuelewa inanipeleka sehemu gani... Naona kuna kuzungukana sana humo ndani...

So far Landry, De Nogaret na Queen Joan wanacheza vizuri...
 
pole ndugu. Tunatembea nayo season ya 3 nayo. Endelea nayo,nzuri. Msalimie Paterson namkubali sana IT wa nguvu.
Roman jamaa lina akili, yaani vitu vinatokea sasa hivi yeye alishavipanga akavipiga tatoo kwa dadaake. Sema nao s03 kama wanarudia stori zilezile za mkubwa wao anakua traitor alafu wanamuondoa.
 
Roman jamaa lina akili, yaani vitu vinatokea sasa hivi yeye alishavipanga akavipiga tatoo kwa dadaake. Sema nao s03 kama wanarudia stori zilezile za mkubwa wao anakua traitor alafu wanamuondoa.
Mi naipenda hivo hivo tu yaani....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…