mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
Power co yakitoto aisee sema unaweza ku addopt biashara ya drug ukiangalia sana ile muvDaah hapa pagumu maana zipo nyingi kinoma, ila the 100 nahisi itashika namba moja na last ship pia na power.. Aaarrgh bana zote kali mi sijui ipi kali zaidi.
Yaani kuna series fulani s01 ilanza moto alafu s02 ikaja kuboa. Namba moja ni hii quantico inafwata queen of the south then designated survivor na kuendelea...Nikp episode 10 naona iko fresh story lakn haina mzka kama s1
Kaka blindspot usiiache komaa nayo, hautajutiaNtacheki hiyo brave blindspot nimeangalia ya kwanza ya pili nimeangali epsodes kazaa naona fiction imezidi sana halafu haina msisimko
Hahaa kweli aisee, kwanza yule jamaa kanifanya na mimi nianze kuvutiwa na kuvaa suti maana anazinyukaga sio masihara.Power co yakitoto aisee sema unaweza ku addopt biashara ya drug ukiangalia sana ile muv
Haha, seen iliyo nickitisha ni pale mtoto wa kike wa ghost alivyouwawa akijarb kumtetea kaka yakeHahaa kweli aisee, kwanza yule jamaa kanifanya na mimi nianze kuvutiwa na kuvaa suti maana anazinyukaga sio masihara.
Series gani nyingine kali kama
Last ship
Prison break
Walking dead
Breaking bad
Hawai five
Black list
Quantico
24hrs
Nimeanza pia kuirudia last ship lakin quantico imeniteka akili nikiimaliza ntarudia tena last ship
Kaka blindspot usiiache komaa nayo, hautajutia
Haikuwahi kuwa na mzuka season 2Nikp episode 10 naona iko fresh story lakn haina mzka kama s1
Empire ni nzr sana naikubal lakn GOT nina ep1 tu lakn sene za xxx zlkuw znankera sana, pKama unazi-feel political drama, go for House of Cards.
Na kama umeipenda Power, tafuta The Wire...!
Kama unapenda real Spy (CIA not FBI Stuff) series, go for The Americans. Usitarajie kuona mikono ya mara kwa mara na gun shooting manake spies huwa wanamaliza mambo yao kimya kimya... na Homeland nayo siyo ya kuipuuza.
Na kama unapenda legal drama, tafuta Suit na The Practice.
Na kama ni mfuasi wa conspiracy theories... Martian, UFO stuff n.k, tafuta X-File... sema ya kitambo sana!!!
For medical drama, go for Grey's Anatomy... uzuri wa GA ni procedural (not serial) drama; which means unaweza kuanzia popote ingawaje imefika mbali sana... 14 Seasons, 300+ episodes!
Game of Throne huenda ikakuboa wakati unaanza lakini kama uliweza kuiangalia Breaking Bad episodes 3 za mwanzo, basi hutashindwa GoT na mwisho utagundua hukupoteza muda wako bure... ni hit series BUT beware with nudity na sex scenes.
Kama ni music fan kama mimi go for Empire~~ beware of homesexuality scenes. Wanaboa lakini una option ya ku-forward!
Sio Blacklist ni Black SailsNimei pause kwanza iyo blacklist baada ya kuanza quantico nakushauri angalia hutajuta
Sure... nudity kwenye GoT ni too much!! Main criticism ya GoT ni nudity lakini hawajakoma kama ambavyo hawajakoma Empire na scenes zao za homesexual. Sema storyline za GoT ndizo zinatufanya tusahau hayo mengine...Empire ni nzr sana naikubal lakn GOT nina ep1 tu lakn sene za xxx zlkuw znankera sana, p
Powe pia ni nzr bt ngoja nijarb izo zngne ulzonidokeza
chief wewe ndio wa kwanza kumention Hawaii Five-0 humu, sijui tunaangalia wawili tu!!?Series gani nyingine kali kama
Last ship
Prison break
Walking dead
Breaking bad
Hawai five
Black list
Quantico
24hrs
Nimeanza pia kuirudia last ship lakin quantico imeniteka akili nikiimaliza ntarudia tena last ship
Iliishia episode ya 9, inarudi keshoSikumbuki ya ngapi nahisi 10 au 11.
Ni series kali sana kama unapenda crime solving and detective genlechief wewe ndio wa kwanza kumention Hawaii Five-0 humu, sijui tunaangalia wawili tu!!?
Mission zao Zakawaida Sana Hao Hawaii tofaut na zinginechief wewe ndio wa kwanza kumention Hawaii Five-0 humu, sijui tunaangalia wawili tu!!?
Black Sails ni shida ... nipo season 3Sio Blacklist ni Black Sails
Sure,iliishia ya 9 itakuja ya 10 lakini sio kesho,ni next week bado siku 7 kuanzia Leo.Iliishia episode ya 9, inarudi kesho