Series (Special thread)

Quantico season 2,
Nimeshangaa kuona kiswahl chetu kimekua lakn wametuaibisha maana EA hatuna magaidi na kwenye muv magaidi wanaongea kiswahili
 
Bonge la series

Vipi lakini ushampigia "wa dar" ??

My all time best series yaani naipenda hatariii. Soon naanza kuichek tena etiii.
Wa dar kanichosha bana kaniomba vocha na ela ya chips mayai nimemkaushia
 
Yule dogo wa Dodoma aliyeuwawa kenya alikuwa mwarabu sio
Yulr jamaa kwao ni Arusha lakini alikuwa anasoma dosoma advance mchepuo wa pcb, nilibahatika kusoma na classmates wake pale bhboys wanadai ni mtu mpole sana na alikuwa mwenye itikadi kubwa sana ya dini ya kiislam na pia amala ya mwisho alizinguana na headmaster wake kisa alikwambia

Yule jamaa ilikuwa ni ndani ya afrika mashariki na mpaka saiv bado tunaona ni rumors kwan ni kitambulisho pekee ndicho kilichokamatwa lakn yy hawakumuonyesha sura

Ugaidi uliofanyika galisa na westegate ulikuwa co mkubwa ukilinganisha na intelligence ya nchi kubwa kama marekani ambapo muv hii imeigizwa na seen yake ni kwamba raisi alitekwa katika mkutano wa G20
 
Hata mimi nilishangaa. Season 3 on progress
Series gani nyingine kali kama
Last ship
Prison break
Walking dead
Breaking bad
Hawai five
Black list
Quantico
24hrs

Nimeanza pia kuirudia last ship lakin quantico imeniteka akili nikiimaliza ntarudia tena last ship
 
Jamani leo tumafunga mwaka, ningependa tu share kila mtu best series yake ya mwaka huu
Yakwangu ni
The last ship wewe je

Cc Maserati
mgonjwa mwenzangu wa red flue
 
Series gani nyingine kali kama
Last ship
Prison break
Walking dead
Breaking bad
Hawai five
Black list
Quantico
24hrs

Nimeanza pia kuirudia last ship lakin quantico imeniteka akili nikiimaliza ntarudia tena last ship
Quantico waliboa season 2 nikawa naitazama sababu tu nampenda priyanka na Ryan Booth
 
Jamani leo tumafunga mwaka, ningependa tu share kila mtu best series yake ya mwaka huu
Yakwangu ni
The last ship wewe je

Cc Maserati
mgonjwa mwenzangu wa red flue
Yaani tumewa red flue na kuona kwa msaada wa doctor Rachel. Nyingine zitafuata laini ,Last ship imeteka hisia zangu this year..
 
Jamani leo tumafunga mwaka, ningependa tu share kila mtu best series yake ya mwaka huu
Yakwangu ni
The last ship wewe je

Cc Maserati
mgonjwa mwenzangu wa red flue
Daah hapa pagumu maana zipo nyingi kinoma, ila the 100 nahisi itashika namba moja na last ship pia na power na nyingine nyingine.. Aaarrgh bana zote kali mi sijui ipi kali zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…