Series (Special thread)

Karibu series zote hapo nimeziangalia tumepishana kidogo sana, ila hapo kwenye hizo ulizoweka pending check hiyo last ship, designated survivor na agents of shields ni balaa hizo, story zake zipo poa sana, 24 na prison break nazo ni habar ingine kabisa, ukizianza zikakolea hutalala..trust me..
 
Mi pia ilinivutia coz napenda ancient stories James Delaney hatari sana!
Yeah ipo poa sana, Delaeney sio mtuu poa kabisa mimi ni mpenzi sana wa series za waingereza english yao tamu sana wana swagger flani hivi kuanzia za waingereza nimependa sana Salem, sherlok Holmes,peny dreadful na kuna william Shakespeare inakuja pia Kama unafatilia Game of thrones.

Uwakute waingereza wanaongea kwenye GOT Kama Arya stark, Sansa stark, Samuel tally, John snow na Brienne wana namna yao wanavyopronounce maneno ndio univutia zaidi tofauti na wamarekani.
 
Mzee itabid nikutafute ninyonye season hizo
 
espy shoga angu Scorpion wametoka kunichekesha hapa mie. Nimecheka hatari. Tumepata doctor wa pili,huyo Tobius sasa anavokaa eti "no,you are not a doctor" huku sly anakuambia "jd means juries doctor,i am a doctor" pagie yeye anaona raha tu kusukumwa kwenye gari anajifanya hasikii akiambiwa pull the wire
hii series ikiisha nazimia jamani mie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…