Ghkaaa!!!umesahau kuhusu sakata la mwisho kwa rais na mjengoni White house,kara alivyokuwa ana simamia show??
Ulikuwa anaondoka na kuiacha Nathan James buanaa...Okay ndio iliishia capt. Chandler amerudi melini na makamanda wake, granderson akafurahi sana kumuona kara?
Ulikuwa anaondoka na kuiacha Nathan James buanaa...
Imeanza poa sana aisee,duh!!!natamani iendelee tu isiishe
Kwa mujibu wa TNT 20 aug watatoa episode 1 & 2 kwa pamojaNimepakua episode lakin nashngaaa nmekuta episode moja mbili NNE nane Tisa na kumi nimeshindwa kuelewa japo sijaangalia SBU ya muda,,,niambien alieangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
OK BA's nmeshashangaaaKwa mujibu wa TNT 20 aug watatoa episode 1 & 2 kwa pamoja
Kwa mujibu wa TNT 20 aug watatoa episode 1 & 2 kwa pamoja
Power sasa ipo episode 7....Mie nipo na Power, Season 4 episode 3! Japo ina masuala ya wakubwa ila story ipo good. Last ship naifuga kwanza as nikimaliza hii naanza Queen of the south current season as hope nimeifuga vya kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuta namna hii nikashangaaa sana Ila kama walisema wanatoa EP 2 BA's ngoja niachane nazo
[/URL]
Ya 9 mkuu ipo.
Dah! Huwa naitizama kupitia HBO Nordic... naona wapo nyuma..Ya 9 mkuu ipo.
mzigo unaendelea kila wk episode moja hadi episode ya mwishoJana Ndio wametoa eps 2zingine zitaendelea mwezi wa 10 kama sikosei
Tar 28 wanadondosha episode 3