Guys u are missing out. Kuna kitu cha fargo na pia better call saul (inapendeza kama umecheki breaking bad).
Zimeandikwa vizuri na zina uhalisia. Sio kama yale mambo ya the 100 au ushuzi wa 24 legacy