Series (Special thread)

Nachojiuliza zile nguvu za kiuchawi cjui nn walizokua nazo wale jamaa na kale kabishoo MK zitamrudia kwel MK maana naona akijikata sasa hiv mhabadiliki kama mwanzo,ila Sanny atakachomfanya yule baron atajuta kuzaliwa
 
Octavia of the ski-cru. Daah the 100 episode 10 imeondoka na majemedari wengi. Ila wajanja wa ski-cru tayari washajifungia kwenye bunker. Octavia na Indra wakiwa na clans nyingine wapo nje ya bunker wakitafakari hatua ya kuchukua
Niliachaga kuitazama baada ya kufanya Lincoln awe mtu wa ajabu. Ilivyoisha season one tu sikuendelea tena
 
Octavia of the ski-cru. Daah the 100 episode 10 imeondoka na majemedari wengi. Ila wajanja wa ski-cru tayari washajifungia kwenye bunker. Octavia na Indra wakiwa na clans nyingine wapo nje ya bunker wakitafakari hatua ya kuchukua
Octavia alifanya vizuri sana this episode
 
Hii ray Donovan in mm tu au kuna wafuac.maana mm imenichukua moja kwa moja yaan nmeielewa had bhac
 
Wakuu kwa yeyote mwenye kujua series yoyote za adventure isiwe,Merlin, viking,game of thrones,the seeker ,
 
Kuna kitu kipya kimetoka jamani. Iko na episode 2 tu. American gods nimeielewa sana
Yaaa ila mwanzo hama haijaeleweka sana ila itakua moto sana baadae.. Mzee linken wa kwenye the 100 daaah wacha kbsa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…