Mbona umekomaa sana ndugu kwani kuna alie kulazimisha uangalie, na ushoga wa michael ni nje ya prison break, huwez linganisha naushoga wa kwenye empire.Ndio..starring ndezi,aaqhka. Mwisho nikaanza kuwa fun wa kina kaoge na James delicious, sitakiii kabisa hayo. Hata sitaiangalia kuna series nyingi na ni nzuri tu,nitakomaa nazo hiyo prison break I give it a break
Zipo kibao mkuu...zamani ilikuwa Torrents zinaokoa.. siku hizi sijui zinapakuliwa wapi..😉
Utakutana na seeders wa kutosha kwenye hii ExtraTorrent.cc The World's Largest BitTorrent Systemzamani ilikuwa Torrents zinaokoa.. siku hizi sijui zinapakuliwa wapi..😉
Labda niseme ni series ya Kimarekani kuliko kusema ni ya watu wa nchi gani manake series za USA ni kawaida kukuta watu wa mataifa mbalimbali hususani UK, Canada na Australia pamoja na nchi zingine vile vile!ni watu wa nchi gan wamecheza hyo movie
Tony serikali ilimdisappoint kaamua kuishi kivyake. Na anakuwa professional kwenye sector ya mauaji sababu amedeal na cases za kimauaji nyingi. Pia kifo cha mkewe kilimuumiza sana.Tony Almeida kwenye 24 legacy ameniudhiii,,kawa muuwaji wa kukodi aiseee,,,
Ukifungua unaona notification: Your IP Address is .... from Tanzania.... ikifika hapo mie wa kizamani nahisi kwikwi..Utakutana na seeders wa kutosha kwenye hii ExtraTorrent.cc The World's Largest BitTorrent System
Kwavile upo Tanzania haina tatizo lakini kama ungekuwa nchi zilizo strict na masuala ya Copyright kama ilivyo USA na Europe; manake ingekuwa unaiba kazi za watu huku kukiwa na uwezekano wa kudakwa kwa sababu IP Address yako ipo open!! In short, hapo unakuwa encouraged kutumia VPN ili kuficha location yako.Ukifungua unaona notification: Your IP Address is .... from Tanzania.... ikifika hapo mie wa kizamani nahisi kwikwi..
Hakuna aliyenilazimisha kuangalia,na hakukuwa na umuhimu wowote wa wewe Ku reply since nilikuwa sikujivu wewe. Ndio hivo ushoga wake na ushoga wa kwenye empire pia nilishaachaga kuuangalia. Ambao mko interested angalia since haulazimishwi na mtuMbona umekomaa sana ndugu kwani kuna alie kulazimisha uangalie, na ushoga wa michael ni nje ya prison break, huwez linganisha naushoga wa kwenye empire.
Prison break nishaicheck mkuu...bado hii iliyotoka....kama zipo zingineUnataka kununua series? Wapi? Kariakoo; au?! Kama Kariakoo, je upo tayari kununua Prison Break yenye Season 11 wakati kimsingi iliishia seasons 4 peke yake?!
Maana ya post yangu sio kwamba unataka kununua PB bali kukuambia kwamba Series za Kariakoo ni full uchakachuaji! Kwa mfano, PB ilikuwa ni seasons 4 peke yake lakini ukienda Kariakoo utakuta wameikata kata hadi seasons 11 ili wapate pesa nyingi!! Ukienda kwenye IRIS yenye seasons 2, kwa Kariakoo utakuta hadi seasons 4.Prison break nishaicheck mkuu...bado hii iliyotoka....kama zipo zingine
Asante nimekuelewa mkuuMaana ya post yangu sio kwamba unataka kununua PB bali kukuambia kwamba Series za Kariakoo ni full uchakachuaji! Kwa mfano, PB ilikuwa ni seasons 4 peke yake lakini ukienda Kariakoo utakuta wameikata kata hadi seasons 11 ili wapate pesa nyingi!! Ukienda kwenye IRIS yenye seasons 2, kwa Kariakoo utakuta hadi seasons 4.
Kwa series mzuri, moja wapo ni Breaking Bad... hii ilishaisha almost 3 years ago ingawaje kuna spin off yake inayoenda kwa jina la Better Call Saul ambayo ipo season ya 3!!!