July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
2010-2013 ka sijakoseaYa mwaka gan
YeahHuman target?
mambo vipi mkuu July Fourth, naomba (kama kuna uwezekano) uweke link ya series zote badala ya kuweka moja mojaKwa wapenda sitcoms msizisahau (japo zingine za zamani)
1. Friends- Index of /Series/Friends/
2. Two and 1/2 men- Index of /Series/Two And A Half Men/
3. Coupling-
Index of /Series/Coupling/
4.speechless-
Index of /series/speechless/
5. Fresh off the boat
6. King of queens..
Index of /Series/The King of Queens/
Mwenye kujua zingine (kali) anisaidie.
Direct links mega thread x2x0x1x5xmambo vipi mkuu July Fourth, naomba (kama kuna uwezekano) uweke link ya series zote badala ya kuweka moja moja
Ransom,24 regacy kuna page Instagram ya entertainment_tz kila siku anatoa updates za movie mpyaNaomba nielekezeen zile za kipelelezi zinazosisimua ambapo story inaisha mwsho wa series sio kila episode inaanza na kuisha
Kuna emerald city ni hatari sanaUchawiii ni kali sanaa...View attachment 459610
Inarushwa pia Novela 1Wadau,
Natafuta Series ya ki Mexico,
Inaitwa CORAZON INDOMABLE au kwa kilugha ni WILD AT HEART, msaada please,
Kwa Bongo inarusha na kituo cha TV1, saa 12:30 jioni
Hatimaye nimempata wa good behavior mwenzangu. Ishapitishwa itatoka season 2 duh..naona inachelewa kutoka,nmemiss harakati za ile perfect combo angu jamaniii'macgayver' Hii ni ya kipelelezi iko poa,
hostage hii japo ina muda,ila iko poa ,
supergirl
goodbehavior
Beowulf hii nayo iko poa ni jamii ya kina viking
From Dusk Til Down,hii inafanana na movie yake kama ulishawai ona
Lucifer
The catch,hii iko poa sana
Hizi ni baadhi ya series nilizo zikubali nyingine sijaweka wadau walishaziweka
Iko King'amuzi gani??Inarushwa pia Novela 1
Inarudi na makucha yake... Keep calmPrison break inarudi?
Hatimaye nimempata wa good behavior mwenzangu. Ishapitishwa itatoka season 2 duh..naona inachelewa kutoka,nmemiss harakati za ile perfect combo angu jamaniii
Super girl,nzur sanaHatimaye nimempata wa good behavior mwenzangu. Ishapitishwa itatoka season 2 duh..naona inachelewa kutoka,nmemiss harakati za ile perfect combo angu jamaniii
tena ndio series inayosubiliwa kwa hamu kila kona ukiondoa 24 legacy ambayo imekwisha anza but 4/4 season 5 episode 1 ndio itakuwepo hewani.Prison break inarudi?
Westworld nimechek episode moja nikaona haina ladhaMuwe mnachek hata westworld na outlander au ngumu kumeza...
Hizo za uongo mwingk Mimi hapanaSuper girl,nzur sana
Star timesIko King'amuzi gani??
Na Channel namba ngapi Mkuu??
Ahsante,Star times