Series (Special thread)

Leo nmedownload blacklist,training day,bilions na six...sijui ntalala saa ngap nataka nimalize episode zote 4 ucku huu
 
Basi usiongee sana usije ukanifanya nianze kuiangalia sasa manake unanitamanisha! Hayo mambo ya kusubiria hadi J4 ndo huwaga siyatakagi manake unaposubiria series iliyoku-touch, wiki moja inakuwa kama mwezi mmoja!!
 
Bahati nzuri kuna vitu vingi vya kuangalia kama suits,HTGAWM,TBBT, n.k
 
Bahati nzuri kuna vitu vingi vya kuangalia kama suits,HTGAWM,TBBT, n.k
Suits ni my favorites na sijawahi kui-miss tangu iingie hewani! Ingawaje nishapata kuangalia legal drama zingine lakini Suits habari nyingine!

Hizo zingine, nimeshindwa kukuelewa!
 
1. 24
2. The Americans
3. Homeland
4. Traveler (Haikuendelezwa)
5. Madam Secretary (Haikuendelezwa)
6. OC (Orange County)
7. Alias
8. Get Smart
9. Covert Affairs
10. Scandal
Hiyo ndiyo kumi bora zangu za tv series.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…