johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Manakosa uhondo nyie ubaya wa hzi na kuumiza ubongo pale unapoangalia lakini story zao ukizielewa mbna tamu sanaupo kama mimi, nilijitahidi kuangalia IRIS na CITY HUNTER tu zingine zilinishinda kiukweli.
Japo hizo sijawahi zishusha lakini ninaimani hapa utazipataMkuu unaweza nisaidia hizi SERIES MOVIE nitazipata wapi mkuu?
1)THE VICTORY 2 hii ya wachina vs wajapani
2)THE HUNTER hii ngoma nayo ya wachina na wajapana kuna jamaa yupo ndiye kiongozi wa kikundi cha wachina anamiliki the hunter blade
3)BEYOND THE HUMMANITY hii ni ya wadada hivi hao ambao wana uwezo wa hali ya juu katika maswala ya kupambana.
Hizi ni latest mkuu za mwaka jana na mwaka huu nyingi zimechezwaJapo hizo sijawahi zishusha lakini ninaimani hapa utazipata
Asian Drama - Movies and Shows
http://www1.dramanice.to
Dramafire
Dramafever
Au download app ya viki ipo playstore
Inatoka mwezi wa 3DS episode 11 imetoka
Naona wanazidi kuleta watu wakali baada ya kumleta mahoney episode 6 episode 7 wamemleta Lyon aka Sebastian MonroeShooter ep 7 ipo hewani toka jana
Utawala wa Japan dhidi ya KoreanBridal mask
Iko vizuriUtawala wa Japan dhidi ya Korean
Pia kuna GIANT yenye visa na mikasa huba na visasiUtawala wa Japan dhidi ya Korean
Sijaitizama hii coz naangalia hizi nikiishiwa za HollywoodPia kuna GIANT yenye visa na mikasa huba na visasi
Basi sawa mkuu ila wakorea wako vizuriSijaitizama hii coz naangalia hizi nikiishiwa za Hollywood
*Shooter
*Designated survivor
*MacGyver
Hizo series za kufungia mwaka....
Mkuu hii movie season ya kwanza yote nililia sana kila episode yule dogo anajua kuact aisseee na pia gungmo pia alinivutiaPia kuna GIANT yenye visa na mikasa huba na visasi
Mimi haijawahi kunikinaiMkuu hii movie season ya kwanza yote nililia sana kila episode yule dogo anajua kuact aisseee na pia gungmo pia alinivutia
GOTVikings(king ragna) vs game of thrones(john snow)
Yaani hizi kitu ni moto wa kuotea mbali.hapa lazizi anataka nimshauri anze kuangalia ipi.nimeshindwa mshauri mana zote ni noumer