Series (Special thread)

Dah, sasa ndio umefanya nini mkuu?? Ilitakiwa hili bandiko unaliweka Leo mzigo unaanza kupakuliwa kesho, dah maswali hayo yanafanya mwezi march ionekana kama miaka kumi ijayo sasa.
Nimevumilia sana lakini nimeshindwa mkuu, imenibidi niseme tu
 
Hiv ni season ya ngap john snow aliuwawa(game of throne)
 
Nadhani hii series ndio inaongoza kwa kuwaweka watu anxious. Hapa naweza Sema hata my favorite 24 haigusi kwa kutuweka watu roho juu kuisubiria. GOT ni bad news
 
Mkuu unaweza nisaidia hizi SERIES MOVIE nitazipata wapi mkuu?
1)THE VICTORY 2 hii ya wachina vs wajapani
2)THE HUNTER hii ngoma nayo ya wachina na wajapana kuna jamaa yupo ndiye kiongozi wa kikundi cha wachina anamiliki the hunter blade
3)BEYOND THE HUMMANITY hii ni ya wadada hivi hao ambao wana uwezo wa hali ya juu katika maswala ya kupambana.
 
Am good.
Kwakweli, unaweza jikuta unaangalia hadi ambazo hukutegemea.

Designated Survivor na Tyrant ndizo zimenirudisha kuangalia series....Hatariii ...
 
Reactions: dtj
Designated survivor niliangalia episode 2 tu ilivyotoka lakini naiona kawaida sijaiangalia tena labda huko mbele imekua nzuri.
 
Sory mkuu kati ya series zilinishinda ni hizo za wachina na wakorea sijui, ngoja waje wajuzi wa hayo mambo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…