Wakuu naomba series za kiterrorist,CIA,mafia ....nimeangalia zinginezo kama The American,American Odyssey,24hrs,Scandal,na kuna nyingine Sharon stone ni vice president,Banshee Empire Have n Have nt nakadhalika......naombeni listttt
Kama unapenda Horror movies/TV series then kuna series moja inaitwa THE EXORCIST sio ya kukosa.
So far inatoka episode ya 7 leo usiku. So kama una muda then you can give it a try maana utakuwa na advantage ya kucheki at least 2 episodes to see if its worth your time.
Ratings yake ktk imdb ni 8.3 na itakuwa na up to 10 episodes according to trivia facts ktk imdb.
Mkuu... Msaada wa torrents links za series ya Leathal weapon mkuu.... Nimeicheki YouTube ni kali sana... Naangalia pirates Bay sioni wala eztv mkuu... Msaada