hii series nilijikuta nikivutika kuifuatilia ili nijue itakuaje John Alden akifika kwa mpenzi wake Mary Sibley katika oparesheni yake ya kupambana na wachawi. Ila nimeishtukia kama vile inamkuza sana shetani kiasi kwamba hata mapriest kama Cottom Mather na babake wanashindwa nguvu na wachawi?! kuna u Satanism wanaupenyeza kubadili imani zetu sio bure. Tuiangalie kwa tahadhaliwale wapenzi wa SALEM season ya 3 imisha toka tokea tarehe 2/11/2016 .wamisha achia episod 2 mpaka sasa
Hawa Wazungu tunawaoneaga sana na wakati mwingine inatokana na sisi wenyewe kutofahamu mantiki ya sanaa! Hiyo Salem sijaiangalia kv Supernatural sio my favorite genre! Hata hivyo, niliamua kui-Google kuangalia ikiwa lengo lao ni kueneza Satanism au ni ile tu African Paranoia ya kila kitu kusingizia Wazungu! Kabla hujahisi wanalenga kutuletea satanism, vp ulishajaribu kwanza kui-study CHARACTER ya huyo Cotton Mather na kuielewa?!hii series nilijikuta nikivutika kuifuatilia ili nijue itakuaje John Alden akifika kwa mpenzi wake Mary Sibley katika oparesheni yake ya kupambana na wachawi. Ila nimeishtukia kama vile inamkuza sana shetani kiasi kwamba hata mapriest kama Cottom Mather na babake wanashindwa nguvu na wachawi?! kuna u Satanism wanaupenyeza kubadili imani zetu sio bure. Tuiangalie kwa tahadhali
Sasa Bikra akigegedwa na movie ndo itakua imeisha tena.Teh teh...Mi mwenyewe natamani nione bikra wetu akigegedwa
Download kwanza apps za kudownlodia kama idmJamani wakuu msaada wenu nataka nidownload series nisave kwa flash ili baadae nipate kuicheki lakini nashindwa ,naombeni mnisaidie basi
Mkuu nmezikuta ziko kibao nmeshindwa nchague ipiDownload kwanza apps za kudownlodia kama idm
Download idmMkuu nmezikuta ziko kibao nmeshindwa nchague ipi
Lost ni bonge la series hautojutia kuangaliaPrison break
24 hrs
The arreas
Lost
Undercover
The tyrant
Imeishia episode ya 6 akuna zaidi ya hapo adi mwezi 12Mwenye link ya into the badland msaada plz
Asantee kwa taarifaImeishia episode ya 6 akuna zaidi ya hapo adi mwezi 12
Hiyo lost ni action rafiki??Lost ni bonge la series hautojutia kuangalia
Sio ya action inafanana na prison break tofauti yake ni mazingira tu ..akili nyingi zimetumika watu kujinasua kwenye kisiwa walichopotea baada ya kupata ajari ya ndege na kudondokea kwenye kisiwa cha ajabu.Hiyo lost ni action rafiki??
pamoja rafikiSio ya action inafanana na prison break tofauti yake ni mazingira tu ..akili nyingi zimetumika watu kujinasua kwenye kisiwa walichopotea baada ya kupata ajari ya ndege na kudondokea kwenye kisiwa cha ajabu.
Daaah long time sana hiyo series aiseee...Sio ya action inafanana na prison break tofauti yake ni mazingira tu ..akili nyingi zimetumika watu kujinasua kwenye kisiwa walichopotea baada ya kupata ajari ya ndege na kudondokea kwenye kisiwa cha ajabu.
Kweli mkuu ya kitambo sana lkn iko poaDaaah long time sana hiyo series aiseee...