Series (Special thread)

Dunia hii tunapita mkuu,huwa sioni haja ya kuwa na roho mbaya.
Niko hivi...kama mtu akitaka msaada wangu halafu nikashindwa kumsaidia naweza kuumwa!
Asante,ubarikiwe.
Asante l like this spirit especially when you have a Chance to assist someone freely and you try to put some barriers it's inhuman.
 
Pole sana yaani zilipendwa hizo kuna mpya nyingi nzuri kiasi kwamba hutakiwi kupoteza muda na hizo tens

Banshee
Queen of the south
If loving you is wrong
Mkuu hiyo banshee si zilipendwa pia mana imeshaisha

Sasa hivi mwendo wa NARCOS Season 2
 
Pole sana yaani zilipendwa hizo kuna mpya nyingi nzuri kiasi kwamba hutakiwi kupoteza muda na hizo tens

Banshee
Queen of the south
If loving you is wrong
Nafikiri hii if loving you is wrong naihitaji pia.
Unapatikana wapi mkuu?
 
Pole sana yaani zilipendwa hizo kuna mpya nyingi nzuri kiasi kwamba hutakiwi kupoteza muda na hizo tens

Banshee
Queen of the south
If loving you is wrong
Narcos Season 02
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…