Series (Special thread)

Habari wakuu....
kwa wale wafatiliaji wa series/season,binafsi mimi ni mfatiliaji wa season tena hasa napenda season zinazohushisha sana mambo ya afya mfano mzuri series ya kikorea iitwayo DOCTOR STRANGER hii series ni best kwangu sababu kubwa ni kwakuwa inahusu mambo ya afya.
Series gani nyingine mnazozijua wazee ambazo zinahusu mambo ya afya na ni nzuri ambazo muangaliaji hawezi kuchoka kutazama....?
Ahsanteni.
 
angalia DOCTOR HOUSE ni nzuri hutoboeka nayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…