one for the lord hahaha mkuu japo me situmii but nakupa hongera na nahamini ukiwa mtu wa movie vitu vingne visivyo na maana vitakuepuka ...koz nikitoka job nawahi series homemimi mbona chuo nlimaliza mwaka 2009 na sasa hivi ni muajiriwa wa shirika moja kubwa sana la hifadhi ya jamii na pia ni mjasiriamali ambaye nina ndoto lukuki
kuangalia movies na serie ni starehe sawa na starehe nyingine na haijalishi umri wala position uliyokuwa nayo
napenda sana movies na series sababu ndio zilizoniondoa kwenye matumizi ya pombe kupitiliza(addicted) na sasa nakunywa pombe kiasi (one for the lord) na muda mwingi wa ziada nautumia kwenye kuangalia movies na kushughulika katika shughuli za kimaendeleo.
mbona na wewe ni mgeni sana hapa JF,hapo na sisi tuseme nini?
Mkuu 2017 kweli!!!Prison break na 24 legacy watoa official trailer inasemekana zitaanza kuwa hewani 2017
Kweli Mimi mwanzoni nilikata ila nikweliStory tu za waswahili hizo bhana jamaa sio shoga wala nn
Jamaa ni shoga kweli. Ni confirmed.. Hata yeye mwenyewe alikubaliStory tu za waswahili hizo bhana jamaa sio shoga wala nn
T bag ni yule mshkaji aliyekatwa mkono na john?? Daaah bonge la series..T bag alikua mafia.mzee wakula 0713 kule gerezani
Hahah...sidhani mkuuHapa ndo Scofield anakuja kuplay ushoga kwenye Series sasa.
Hahah...sidhani mkuu
issue ya ushoga michael ina makandokando mengi ni ya kijitengenezea kuliko ukweli hatujui!
session 5 itakua kali sana nahisi wamepata muendelezo mzuri sana kutokea ilipoishia wakaona warudi Fox tena
uyo uyo mkuu.na staili yake ile kuwashikisha vijana mifuko ya surualiT bag ni yule mshkaji aliyekatwa mkono na john?? Daaah bonge la series..
Michael aliibeba sana Prison Break nlikua nakubali sana acting style zake hata kwenye "Legends of Tommorow" yupo vizuri.Yaani ile taarifa ilinigusa sana, nakumbuka wakati najoin JF avatar yangu ya kwanza kabisa ilikuwa ya huyu dogo mpaka pale zile taarifa zilipotoka.
Hapo unanipa matumaini mkuu, ila series nyingi sana za US zina hizi mambo sana.
NdioMkuu 2017 kweli!!!
Ndio