ila nimecheka sana pale mzee mtu mzima Grand Maester Pycelle alipo achia ushuzi walipofumwa na Cerser akiwa na Jaime kwenye King's council alivyokuwa anamwaga umbea
ila nimecheka sana pale mzee mtu mzima Grand Maester Pycelle alipo achia ushuzi walipofumwa na Cerser akiwa na Jaime kwenye King's council alivyokuwa anamwaga umbea
Lannister bado nguvu wanayo sana maana wao si ndio wamiliki wa iron bank hata yule anayeongoza hile King's council anaitwa Kevan Lannister sema katika protocol ya King of seven kingdom kuna democracy aliyoiintroduce Mad king na ambayo ndio ilimsababisha aondolewe.
Ndio maana unaona hata Queen amekamatwa na wale watu wa dini na King inaonekana hana nguvu ya kumtoa but inavyoonekana Cersei na Jaime wanajaribu kulipiza kisasi kwa kumshawishi King Tommen atumie mamlaka yake kuwauwa wale watu wa dini