Series (Special thread)

Mi nishaachana nayo at 14 maana haieleweki
Inachoniboa Quantico ni ile kufanya flashbacks and the present kwenda pamoja! Kwa sie tunapoenda kufuatilia story, ukisahau kidogo tu unashindwa kufahamu ikiwa upo Quantico au field!
 
Tafuta THE NIGHT MANAGER, hii ni mini-serie ya 2016 ina episode 6 tu ila ni kali sana. Pia tafunta Agents of SHIELD, Stitchers na Rush hour.
 
blindspot
 
Series za kinterejinsia zipo nyingi sana Person of interest, The American, The Blacklist, Blindspot, Quantico, Banshee, legend ingia Imdb utafute series unazotaka.
Black list ni nzuri zaid
Banshee sijaanza kuitazama ila naona nikidownload kwa mtorrrents siipat clear hebu nisaidie
 
Zile flashbacks za kwenye Quantico kama ww ni mpenda stories wala haiwezi kukuboa. Tatizo la hii series iko soft sana. Haiwezekani New York city inakua under attack lkn watu wa usalama wako soft. Otherwise sio mbaya kuangalia, ina conversations nzuri.
 
Habari wanajamvi hili.

Ni muda mrefu sana sijatia maguu kwenye uzi huu na leo nimekuja na habari nzuri kwa wale wapenzi GAME OF THRONES (GoT) Leo ndio itaanza kurusha season 6 episode ya kwanza inayoitwa "the red woman" kwenye kituo cha HBO

Nasubiri kwa hamu sana kujua kilichomsibu Jon Snow baada ya kuuwawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…