Series (Special thread)

Iyo Quantico naielewa sana EB nitafute iyo unayosema y person of interest and the american....umesema niingie WAP iyo lmdb ni sawa na utorrent
Imdb ni mtandao ambao unatoa habari za movies na series na kutoa rate yake so huwezi kudownload
 
Kwa wanaofatilia mr.robot
Remi Malik kasema S02 itakuwa very tough than S1


 
inaachiwa HBO Jumapili ijayo usiku ukiacha ya kesho nadhani FIRST EPISODE tutaanza kupakua jumatatu Ya trh 25 nahisi siku hiyo TORENT cha moto itakiona kama si kuwekwa RECORD
Teh teh teh.....kweli kabsa! Hope watu kibao wanaingojea
 
Kwa wanaofwatilia Quantico..Hii series naona kama inaboa siku hizi..Wengine mnaonaje?
Waandishi wa script nahs ndo wanazengua. Nimeeangalia episode mbili zilizotoka last n last week bt 1 kwa kufast forwad pale wanapoongea
.
Anyways i have had enough of priyanka chopra. Siharibu tena MB zangu.
 
Wana jamv wa series special thread muniadd kweny watsup gp # 0717923312
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…