nimetazama Dead End Job, storyline ilikuwa nzuri sana tu, ila wakorea wamezidisha utoto mpaka movie ikaboa, vile nilipenda that idea ya story had to watch it till the end..!
Nyingi ziko hivyo hata Mimi hiyo Hali siipendi vibaya unaweza kukuta movie ni ya action halafu wanaingiza utoto unakuta character anbaye role yake ni ya userious wanataka awe kwenye u comedy na kujitoa akili ila pamoja na yote Wana baadhi ya movie ni Kali na hazina utoto kabisa Kuna single movie moja hivi inaitwa I saw the devil sio ya mashetani ila inaukatili kiwango cha high level ni moja kati ya single movie Kali niliyoikubali kwa wakorea
Ila wana zaga la kijasusi sema la kitambo linaitwa IRIS nililikubali
Kwenye movie wanayo
Train to busan
Na series nyingine ni ile ya one two one two movement 😁
Hapa kwenye picha View attachment 3704811
Nilitamani waongeze season nyingine