Ngoma imegomea kwenye kihidi au procedure ndo sijazifuata vizuriKumbe ina proxies hadi ya Mov, ujue mwanzo hii website ilikuwa inaenda kwa domain ya ru
Wakaja waka switch kwenda su, basi umefanya la maana sana kutuwekea alternative.
Sasa kwenye hiyo link yako nimeweza kuona option ya English.
Hatua ya kwanza ni ku click hiyo icon ya settings.
Itafunguka hivi ambayo hiyo Dcloud ndio default.
View attachment 3697216
Utachagua option ya chini hapo imeandikwa settings
View attachment 3697217
Nashangaa hata saizi huku sauti inasikika kihindi.Ngoma imegomea kwenye kihidi au procedure ndo sijazifuata vizuri
Matchbox movieNaombeni movie/ series
Isiyo na mambo ya kissing wala sex
S02E09 ya motoo๐ฅDark matter tupo ep ya 9 mwanawane
Hawa wapuuzi wanajaribu kila namna kutangaza ujinga wao.Dark matter ulinde wameunguzwa mwishoni kwenye dunia yao shukrani zimwendee dairekta ila wameyumba kuwaweka wale mazoba
Watu wanaweka bajeti bana
Ila inavyoonesha ni scene hiyo tu ndio imechukuliwa Tanzania.Watu wanaweka bajeti bana
Yule kanyoooka sana ndugu yangu jana nilimsifia sana on wasapu statusiBtw yule Blair ni mkali sana wanangu, japokua ana miaka 48, au mi nimeona vibaya. Vincenzo Jr ๐
Pale nomaTusisahau pia Jason hajui km Daniela na Charlie wameenda kwenye box, ule ujumbe wa daniela hakuupata, yeye anachojua wametengana.
Naunga mkono hojaKule Charlie finally kakutana na pacha wke Max, anamuelezea kuhusu alternate reality, Max anaonekana kuwa interested sitoshangaa wakiondoka pamoja. Ila vile vile Charlie amevutiwa na baba na mama yake aliewakuta huko (ukizingatia familia yake halisi baba na mama hawako pamoja na wanakaribia kudivorce), plus kipindi yuko kwa Eleanor wa "Help World" alikutana na other version ya baba yake aliestuck hapo akamshauri kwamba "whatever happens never look back.."
Kwamba kuna uwezekano pia akabaki kwenye dunia aliyomkuta Max.
Huyu mtoto mzuri walahiBtw yule Blair ni mkali sana wanangu, japokua ana miaka 48, au mi nimeona vibaya. Vincenzo Jr ๐
Mbona kama wametupiga hapoIla inavyoonesha ni scene hiyo tu ndio imechukuliwa Tanzania.
Hakuna scene nyingine ambayo inaonyesha mazingira ya mitaani zaidi ya hiyo godown.
Kwa sasa hakuna๐๐๐Naombeni movie/ series
Isiyo na mambo ya kissing wala sex