Fallout, From Silo na Dark Matter zimetoka kipindi kizuri sana tena kwa kufatana.. nasikitika baada ya kuisha Dark Matter sidhani km nitapata series ya kusisimua kwenye adventure, sci-fi na drama/thriller km hizi kwa kipindi kirefu..
Hizi series 4 zimetupa experience bora sana kwa mwaka huu.