Jack Reacher zote nzuri kuanzia movie zile mbili mpaka hii series inayoendelea.Kumbe The Reacher nzuri hivi, ila inachekesha.
Nitazichek nipo na series leo, ni haiboi!Jack Reacher zote nzuri kuanzia movie zile mbili mpaka hii series inayoendelea.
Huko kuchekesha ndio kumenishindaKumbe The Reacher nzuri hivi, ila inachekesha😁
Kwanini ushindwee? Yuko vizuri nimempenda pia😁Huko kuchekesha ndio kumenishinda
IPo kama series ya barryKumbe The Reacher nzuri hivi, ila inachekesha😁
Sijaicheki pia! Asante kwa recommendation.IPo kama series ya barry
Nzuri sanaSijaicheki pia! Asante kwa recommendation.
Naomba jina ya hii 😁😁😁Ukiongeza na hii sio mbaya
View attachment 3655663
Hii ulishatizamaga ndugu yangu series bora ya muda wote kutoka showtimeNaomba jina ya hii 😁😁😁
Hamna kitu humu naweza sema hii ndio science fiction horror mbovu dunia nzima...Hivi backrooms inahusu nini naona kama nataka kuchoma mbps maana huku mombasa ndani ndani sina router mimi🥲🥲
Niangalia hii kitambo sana huyu dogo alikuwa anauwa wanawake alafu anawakata nywele ili atengeneze perfume
Yes ukifuatilia convo the reacher ni comedyKumbe The Reacher nzuri hivi, ila inachekesha😁
Nimeiangalia sijaipenda aisee anawakata pubic hairNiangalia hii kitambo sana huyu dogo alikuwa anauwa wanawake alafu anawakata nywele ili atengeneze perfume
Ananichekesha na kunivutia kwa pamoja napata mixed feelings 😇Yes ukifuatilia convo the reacher ni comedy