Series (Special thread)

Nimekukumbuka mi pia Carleen, nimekumbuka zamani uzi ulikuwa upo active sana kina Vincenzo Jr Mr Q Dr. Mariposa Angel Nylon Depal Seran Those were the days
Kweli pamepoa humu inabidi tufanye jambo sasa,
Nimemaliza kuangalia House of Dragons whoo! i'm so ready for a season 4,

Nataka niianze Interview with a Vampire season 3, huku LIONESS itakua imesogea sogea baadhi ya Episodes niianze pia,


Bytheway, ulienda kuicheki Spiderman?
i did, ilikua nzuri sana pia nimefurahi kua Tom Holland bado tunae kwenye Spidey ya 5🥳🥳🥳🥳 kale kajamaa ni kama kalizaliwa kua spiderman😀
 
House of dragon mi bado sijaimaliza na hyo interview with vampire ni nzuri maana kuna mtu pia aliniambia niicheki

Spider sijaicheki bado, Tom holland anajua, anafaa nahisi kwa kuwa ana ile aura ya friendly na peter parker anafaa kuwa vile ingawa the best spider huwa namkubali Toby maguire sijui kwa nini labda kwa kuwa ndio movies zangu za kwanza za superheroes hvyo ile noslagia inafanya niimkubali sana yeye
 
Siku hizi movies tuna filter sana za kuangalia maana watu weupe hawachelewi kukushangaza kuona vizee venye uraia pacha viki kissiana live au lesbians waki brendiana, ni agenda zinazo forciwa sana kuwekwa kwa kila movie saivi... Sai ni mwendo wa kurudia tu tambala za kitambo ambazo kiasi zina tazamika hata na family, una assume tu ka hujai iona vile..
 
Right now Marvel Studio wapo live D23 wanatangaza cast mpya ya member wa X Men. Mwafatilia??
Disney wametangaza hii... 2029 ndo inatoka
 
Right now Marvel Studio wapo live D23 wanatangaza cast mpya ya member wa X Men. Mwafatilia??
Disney wametangaza hii... 2029 ndo inatoka
View attachment 3650595
Yeeeeeeey🥳
Siku zote nimekua nikiomba Coco 2 na Luca 2, i'm happy Coco inakuja ila ndio 2029 kweliiii! haya tuombeane uzima na afya njema,

Sijawafatilia Xmen kitambo sana
 
Interview with a Vampire ina story nzuri sana ila main characters ni gays, hawaoneshi wakifanya chochote zaidi ni masimulizi ya maisha, so kama ni homophobic achana nayo,

Nipe suggestions za movies,
Wait, unajua niliangalia Spartacus:House of Ushur ikanishinda nikaishia ep 2, humu nikaona inasifiwa ikabidi niirudie Spartacus baadae nikaianza tena House of Ushur bado sijaipenda ila naangalia tu iishe
 
Wewe angalia bongo movies tu au Waturuki,
Yaani nishindwe kuangalia Game of Thrones kisa kuna wanaume wanakiss au nishindwe kuangalia LIONESS kisa kuna wanawake wanakiss,
Nikwambie tu hiyo sio agenda bali ndio maisha yalivyo, wewe baki na kina Othman Bey
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…