Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwa downloading acheze na hizi links

Link 1 (dubbed download entire series with one click)
Link 2 (All in one ina stream na ku download)
Link 3
Link 4
Link 5
Link 6
Link 7 dubbed download entire series with one click)
Link 8

Kwa streaming
Link 0 (my favorite)
Link 1 (streaming hadi 4K)
Link 2 (All in one ina stream na ku download)
Link 3 (All in one ina stream na ku download)
Link 4
Patriot inanioasua kichwa sites zote ninako itafuta inanigomea. Torrent nako u ajua mwendo wa kobe naweza kuipata? Naomba link
 
1000028256.jpg

Inaelekea kuwa kama from tu nakala kwa Carleen
 
Kazi imeanza asee na une isakua vilivyo maana mimi nilichemka miezi imepita sasa tangu Vincenzo Jr alivyo recommend humu
View attachment 3615035
Hiyo nimepata kwenye site hii pahe ila ina mizunguko mingi mpaka u-download unakuwa umefanya kazi.

Kuna ads za maana humo zingine hadi kwenye ile ya captcha za kuzuia robots wameweka hadi hesabu
 
Dqh shukran sana ngoja nipite nione japo nina Adguard ya hatari kwenye simu na nnatumia BRAVE BROWSER adds zinapita kule hata sizioni
 
Hizo hazisaidii kitu

Hizi zitakusaidia kwenye zile pop ups ads ila huko kwingine ni lazima ukutane nazo.

Kwasababu hata link ya kudownload inakuwa generated kwa site ya ads.

Cheza nayo ila usisahau kuwa na Four figure karibu.
 
Hiyo nimepata kwenye site hii pahe ila ina mizunguko mingi mpaka u-download unakuwa umefanya kazi.

Kuna ads za maana humo zingine hadi kwenye ile ya captcha za kuzuia robots wameweka hadi hesabu
Dah nimethibitisha mwenyewe mzunguko wa hapa ni zaidi ya ile barabara ya mwanza mzunguko. Hadi kufikia hapa
Screenshot_20260624-210715.png
unakuwa umezunguka kwelikweli kwa mtu kama uran atasingizia imeshindikana kumbe ni yeye ndio kashindwa. Mkuu shukrani sana.
 
Hizo hazisaidii kitu

Hizi zitakusaidia kwenye zile pop ups ads ila huko kwingine ni lazima ukutane nazo.

Kwasababu hata link ya kudownload inakuwa generated kwa site ya ads.

Cheza nayo ila usisahau kuwa na Four figure karibu.
Nimekutana nacho kaka kwenye kuveryfy ndio kituko zaidi 😁😁😁
 
Attachments

  • 20260624_214616.jpg
    20260624_214616.jpg
    388.8 KB · Views: 9

Similar Discussions

Back
Top Bottom