Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,260
- 5,385
Kama unapenda Comedy. Ni Nzuri Sana.Aliyewahi kuitazama everybody hates criss. Aongee kitu kabla sijapoteza bando
Nimesha ichukuaView attachment 3572228
Hii Series Sijui kama imewahi kupostiwa Humu.
Ila ni Bonge moja la Series.
Maajabu ya hii Series. Ukiipenda Season 1. Basi Jua Season 2 na Season 3 ni Moto.
Naweza kusema ni Moja ya Series Bora.
Nimesha idaka chapView attachment 3571477
Unyama sanaaa, uchukue kule moviemod ipo dubbed
Ishi nayoNimesha idaka chapView attachment 3572545
Pamoja MkuuNimesha ichukuaView attachment 3572543
Sasa je, at least haijachelewa sanaFROM inaanza kutoka weekend hii
Hii ni MovieBox?Nimesha ichukuaView attachment 3572543
Sniper No Nation ni series nzuri lakini haina ubora kama Sniper: Reloaded, Sniper: Legacy, Sniper: The Ghost shooter au Sniper: G.R.I.T. Naona wameipa part 2 ngoja tuone itakuaje
Nitapita na hizo ulizo taja nizioneSniper No Nation ni series nzuri lakini haina ubora kama Sniper: Reloaded, Sniper: Legacy, Sniper: The Ghost shooter au Sniper: G.R.I.T. Naona wameipa part 2 ngoja tuone itakuaje
Ukiwa unapita nazo usiisahau Sniper: Ultimate kill, ni hatari🔥Nitapita na hizo ulizo taja nizione
Achana nayoAliyewahi kuitazama everybody hates criss. Aongee kitu kabla sijapoteza bando
Season ipi unazungumziaMdau aliyeshauri tuangalie NIGHT MANAGER pokea maua yako.