Kaka hadi hivyo unaweza kutumia kwa pakeji ya 60k kuna dogo anaitwa faraja zungu kule twitter x ndio huwa anauza hizi router kuna za laki moja kuna za elfu 50 zingine elfu 85