Series (Special thread)

View attachment 3561360
Hivi Depal ukowapi? Yani huyu jules ana hasira na kimmie, uncle norman naye anataka kuwasha moto kwa mallory si unakumbuka balaa lake la season uno? Sijapenda ilivyoishaa😫
Niko hapa 😂😂
Haikutakiwa kuisha kizembe vile unless kuna S3 itakuja.. me nataka Jules ajue nani alimsukuma Glen afu tuwe na vita mpya😂

Nataka Roy aendelee na mams ake Felicia mpk siku mke wa ndoa Mallory awachinje 😂😂

#This is chess and you still playing checkers.. checkmate MF 😂😂 watupe s3 bana
 
Depal ulikuwa wapi jana nlikuwa nakutafuta tule pilau
 
Niko hapa 😂😂
Haikutakiwa kuisha kizembe vile unless kuna S3 itakuja.. me nataka Jules ajue nani alimsukuma Glen afu tuwe na vita mpya😂
Uwii huo moto sio wa kitoto! Kimmie ataishiwa pawaa..
Nataka Roy aendelee na mams ake Felicia mpk siku mke wa ndoa Mallory awachinje 😂😂
Hawa hawakomi haki! Felicia kuchomwa dumu la kahawa labda ataacha🫢 Nimeona kaamua kuja na 3some lenye boobs😈😈
#This is chess and you still playing checkers.. checkmate MF 😂😂 watupe s3 bana
Checkmate nimekubali.. S03 itakuwa ya moto sana! Natamani kuona norman na jules watakuja vipi😱😋
 
Nakuwa na mume kama Roy.. kila siku angekuwa anaoga maji yenye upupu 😂 kabla nimmalize
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…