Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ndio naiangalia hapa, inawezekana maana kila chapter naona wanapungua watu kadhaa!
Ila kama nahisi story yao haikuisha, pia yule dada ake na jenna ortega ni kama amerithi ile dark side ya baba yake, au labda ndo atakuwa ghost face kwenye hii
 
Ila kama nahisi story yao haikuisha, pia yule dada ake na jenna ortega ni kama amerithi ile dark side ya baba yake, au labda ndo atakuwa ghost face kwenye hii
Labda ngoja tuone!
2163C1C1-74E0-48A1-BC09-E89CEC1DE003.jpeg

Halafu huyo Jena alikuwepo kwenye scream VI tu sio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom