Hellfire: Single Movie
Yule Mzee aliyecheza kwenye movie ya Don't breath ndio starring wa hii movie, iko hivi Mzee huyo anaingia kwenye huo mjini lakini wenyeji wa huo mjini hawataki kuona mgeni yoyote kama uliingia wanakulazimisha uondoke siku hiyo hiyo unajua kwanini wanafanya hivyo? Ifuatilie hii movie utajua
Ni kweli ndio maana naona dramatic exaggeration imezid kwenye survival horror, huyu jamaa aliyeitengeneza sindo yule wa the hitman bodyguard bwana hughes P.