Ngoja nicheki trailer yakeNdio
Nzuri sana hii.Kama uliupenda msimu wa kwanza wa Your friends and neighbours, habari njema msimu wa pili utaanza mwezi April hapo next month.
Sneaky Pete
Mbona kali au kisa ya kijerumaniNIlikua nacheki UNFAMILIAR
It was a total wastage of my time
Mimi nilichukua hii ambayo Ina triple language/audio.Mbona kali au kisa ya kijerumani
Niliona haina u-serious unaohitajika kama wa kwenye series nyingine za makachero 😁Mbona kali au kisa ya kijerumani
HorrorWakuu naombeni list ya single movies, huu mfungo bila movie ya kukusogeza muda wa daku hutoboiiiiii utalala uache ubwabwa kwenye hotpot🤠
Ninazopenda:
Action,
Horror, (isiwe ya ghosts)
Animation,
Medieval,
Twende kazi
hapo ndio wazungu huwa wanazinguaNajiuliza kwanini watu hawakuipenda Dexter resurrection mpka kupelekea isitishwe? Nipo episode ya tatu na nimeikubali sana
No Escape ya 2015 au?Horror
1.Stranger chapter 1
2.Waepons
3.No escape
Action
1.o Remorse
Animation
1. Elio
2.Onward
Leo Angalia hata documentary za wanyama basi 😁
Hii week nimekaa kizembe na movie hazieleweki! Kesho nitakurecomend dada!
Hata za watu, kuna za 50 cent na nyingine nyingi tuLeo Angalia hata documentary za wanyama basi 😁
Dah nimecheka sana walai😂😂😂 huwezi amini, naweza kukaa youtube for hours kuangalia videos za Paka na Mbwa, yaan hao wanyama hua nawapenda sana tabia zao na vituko vyaoLeo Angalia hata documentary za wanyama basi 😁
Ndio, hata za jamii za kale pia huwa ni nzuriHata za watu, kuna za 50 cent ma nyingine nyingi tu
Daah nyie watu jamani😂🤣🙌🏻Hata za watu, kuna za 50 cent na nyingine nyingi tu
Wengine tunangalia za kina kajala tu🫢Dah nimecheka sana walai😂😂😂 huwezi amini, naweza kukaa youtube for hours kuangalia videos za Paka na Mbwa, yaan hao wanyama hua nawapenda sana tabia zao na vituko vyao
Mna moyoooooWengine tunangalia za kina kajala tu🫢