Ila kwame atakuwa na wakati mgumu mno baada ya domitianous kuwa mfalmeWame sema season 2 inakuja, tukae mkao wa kula itakua ya moto sanaaa, nahisi Tenax atakuja kua mtu mkubwa sana sijuii ngoja tuone.
Ameshakua freeman aondoke sasa bila hivyo hakuna rangi ataacha kuionaIla kwame atakuwa na wakati mgumu mno baada ya domitianous kuwa mfalme
Si aligawa fredom yake kwa julaAmeshakua freeman aondoke sasa bila hivyo hakuna rangi ataacha kuiona
Omg! nilikisahau hiki kipengele duuuh kazi anayo ndio maana nasema season 2 itakua ya moto sanaaaaaSi aligawa fredom yake kwa jula
Sana, alafu inaonekana tenax lengo lake kuu ni kuwa mfalme, maana baada ya kupewa klle cheo kipya alisema hata julio caesar alishawahi kuwa na hicho cheoOmg! nilikisahau hiki kipengele duuuh kazi anayo ndio maana nasema season 2 itakua ya moto sanaaaaa
Cala alimshangaa kwanini anataka kufatilia kuhusu baba ake, akamjibu "in Rome, blood is everything" na kama unakumbuka hata Domitianus alimwambia amuwekee wine akakataa akamwambia huwezi jua nitakuja kua nani akaondoka,Sana, alafu inaonekana tenax lengo lake kuu ni kuwa mfalme, maana baada ya kupewa klle cheo kipya alisema hata julio caesar alishawahi kuwa na hicho cheo
Hii chuma kitambo sana kalii mnoDepal Carleen Mr Q Seran Vincenzo Jr Dr. Mariposa Guacamole Angel Nylon
The Theory of everthing, {Romance, Drama } 2014
Ni movie inayoelezea maisha ya mwana fizikia stephen hawking na mke wake jane hawking na changamoto za ugonjwa wa stephen hawking
Stephen hawking anakutana na jane na wanaanza mahusiano licha ya mtizamo wao kuhusu uwepo wa mungu jane akiamini mungu yupo ila stephen akiwa sio muumini, bahati mbaya stephen anapata changamoto ya ugonjwa na anambiwa ugonjwa utasabisha akose nguvu ya kusimama na kutembea, sauti na macho pia ana kama miaka miwili ya kuishi, jane anapata taarifa hizi ila anaamua kufunga ndoa na stephen hivyo na kuishi nae maisha yaliyobaki, wanafanikiwa kupata mtoto, na stephen anapata recognition ya kuwa doctor baada ya kuandika paper ya kuhusu black kuwa mwanzo wa muda, baada ya hapo hali inazidi kuwa mbaya sana mpaka anashindwa kuongea ila mke wake akiwa nae kwenye hali hyo mpaka anakuja na wazo kubwa la hawking radiaton na anaenda marekani na kuwa mwana fuzikia mkubwa duniani anafariki ila akiwa na ndoto ya siku moja itakuja kuundwa equation moja itayounganisha general relativity na quantum mechanics
Haina mambo ya kisaynasi sana hivyo kama hupendi mambo ya ma equation usijali ime base kwenye drama na romance
Hapo sawa, mambo ya kuumiza kichwa hapana kwakweliHaina mambo ya kisaynasi sana hivyo kama hupendi mambo ya ma equation usijali ime base kwenye drama na romance
TurbulanceNitajie chuma unacho angalia weekend hii ili NAMI niruke nacho
Hii review imetosha nimeamua kuishush muviTurbulance
Nimeitazama ilinishtua sana hii movie vipi Carleen ushaicheki?Hii review imetosha nimeamua kuishush muvi
PompeiNitajie chuma unacho angalia weekend hii ili NAMI niruke nacho
Ni hatari sana brother
Hii ya mwaka ganiPompei
2014Hii ya mwaka gani
Hii?2014