Achana na haya madudeHii sio trela Bali kipande kinonesha namna wazungu wanavyo fanya kazi kweli kweli pindi wanapo taka kuingiza filam
View: https://youtu.be/otIl-aAm4lI?si=AUlswXRiEOktn8CZ
Zote ulizotaja bado sijaziona isipokuwa steal na niliisifia humu wiki jana Ngoja nizitafute hizo nyingine. Maana zilipotoka moviemod hawakuzipndishaAchana na haya madude
Unfamiliar umeiona?
Steal, Memory of a killer najua hizo utakua umeziona.
Hii Unfamiliar imetoka juzi tarehe 5. Umeiona?
Yule mama yao nilimcrushia mwanzo mwisho, ana sauti nzito flan hivi iliyojaa utulivu na ukomavu, ana mwili wa mapenzi halafu ana macho flani akikuangalia kama anakuitia kitandani oyaaaaa๐ซก๐๐ป alimtesa sana Tenax mshikaji na ubabe wake wote akasema "i'm terrified of you" mwanamama akamjibu "Good"Ila ile familia ina watoto wazuri, kuanzia mama mpaka mabinti zake ๐
Movie boxTangu waipige chini netnaija nimekua mvuvu wa kutazama moviez,pls naomba recommendation ya site nitakazoweza pakua movies/series zenye ubora wa kati ila mb chache
Enjoy buddyTangu waipige chini netnaija nimekua mvuvu wa kutazama moviez,pls naomba recommendation ya site nitakazoweza pakua movies/series zenye ubora wa kati ila mb chache
Endelea mbele kuna mambo mazuri mazuri๐Dr. Mariposa Nimefika ep ya 03 ila naona ni nzuri,
Nakubaliana na wewe hata mimi ningekufa tu kama ningekuwa mtumwa maana sina mwili wa gladiator ๐
Na mama ni kisu kuwazidi woteIla ile familia ina watoto wazuri, kuanzia mama mpaka mabinti zake ๐
Tumia hii app.Tangu waipige chini netnaija nimekua mvuvu wa kutazama moviez,pls naomba recommendation ya site nitakazoweza pakua movies/series zenye ubora wa kati ila mb chache
Cheza nayoZote ulizotaja bado sijaziona isipokuwa steal na niliisifia humu wiki jana Ngoja nizitafute hizo nyingine. Maana zilipotoka moviemod hawakuzipndisha
I hope watakuwa wamesha ziwekard
kabisa, ana macho mazuri, itakuwa aliwatesa sana watu enzi za ujana wake ๐Na mama ni kisu kuwazidi wote
Thnks buddy hii site Iko poa sana
Kama mimi tu๐kabisa, ana macho mazuri, itakuwa aliwatesa sana watu enzi za ujana wake ๐
kwa ule mguu ulioselfika ile siku siwezi kupinga, unaonaje ukitubariki tena๐ ila Dr. Mariposa ni shemeji yangu hatakiwi kujua kama nimesema hivi ๐Kama mimi tu๐
Mguu gani nawe dosho jmn๐ niwabariki wewe ata ukucha tu umeuficha mbalii! Ni shemeji yako kwa nani lol ๐kwa ule mguu ulioselfika ile siku siwezi kupinga, unaonaje ukitubariki tena๐ ila Dr. Mariposa ni shemeji yangu hatakiwi kujua kama nimesema hivi ๐
Anko nitumie hata pm nione peke yanguMguu gani nawe dosho jmn๐ niwabariki wewe ata ukucha tu umeuficha mbalii! Ni shemeji yako kwa nani lol ๐