Sija extract file bado nitaketa mrejesho ila site niliko ichukua nahisi inasimamiwa na wahindi sasa kwenye kuandika itakuwa walikosea ila series ni yenyewe πππ nitaleta mrejeshoBetter call Sual mzee..!?
una hakika hiyo siyo ya kichina..!?
ππππOngeza tu kwenye list, wewe na ndugu yako Angel Nylon list zenu nahisi zinajaza page kumi za paper za A4 π
πππππ Alafu kachukua season mbili full, asisahau kutupa mrejesho huenda ya kichina ni nzuri zaidi π
πππSija extract file bado nitaketa mrejesho ila site niliko ichukua nahisi inasimamiwa na wahindi sasa kwenye kuandika itakuwa walikosea ila series ni yenyewe πππ nitaleta mrejesho
The night manager Kuna janja alitegwa na demu akataka kugoma kumzingatia mwana akasema hapa Itakuwa uwongo ngoja nienjoy tu πππLeo nipo naongeza nyingine might manager hivyo basi weekend hii ni zero movement ni ku watch tuView attachment 3530425
View attachment 3530426
ππππππππ
nimecheka balaa, wachina wazee wa copy balaa, kina Doir na Balenciag..!
πππ
wahindi ni wehu..!
Tangu niwe nazima VPN naona simu inakaa na chaji masaa 72Seran Dr. Mariposa Carleen Depal huwa mnaangalia zile series za summer zinakuwa zimeektiwa sana majira ya summer huwa zinakuwa ni mystery, drama na romance kama 1. The summer i turned pretty 2. Outer banks 3. Pretty little liars na spin of zake a/ ravenswood b/ pretty little liars : perfectionist C/ pretty little liars original sin, 4. Cruel summer 5. 13 reason why 5. We were liars 6. I know what you did last summer. Vincenzo Jr
Simu inakaa saa 72 yaani siku 3 bila kuchaji ni simu Gani hiyoTangu niwe nazima VPN naona simu inakaa na chaji masaa 72
Pia nani skumbuki hapa aliandika VPN inaharibu simuβ¦ wacha nisubiri mrudi hewani ππ
Infinix man πSimu inakaa saa 72 yaani siku 3 bila kuchaji ni simu Gani hiyo
π³π³π³π³π³
ππππ MamboMbona tick imekuwa kubwa sana? Kwani mlidhani hatuwaoni verified users ππ
Vincenzo Jr
Leo Depal naona unajiskia kupigana na mtu nini mbona umekuwa mchokozi hivyo πMbona tick imekuwa kubwa sana? Kwani mlidhani hatuwaoni verified users ππ
Vincenzo Jr
Kwa Yesu Kristo, maendeleo yako?ππππ Mambo
sijawahi kuiona, ndio umeanza ? Ni nzuri au miyeyusho tu
Infinix ganiInfinix man π
Inatunza chaji giza mbili na nusu
Ah kudadeki sjui nisemejesijawahi kuiona, ndio umeanza ? Ni nzuri au miyeyusho tu
Unaweza heka heka lakini...Naona una macho ya kuona hadi kesho. Pigia Mtume Paulo makofii
Nimechoka leo
Natafuta wa kumpunguzia uchovu
Nimemjaribu Smart911 kakaza
Mxiiiew ππ