Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,211
- 79,685
Namba 7 ya moto sanaVitu ni vingi vya kuangalia sijui nianze na kipi nimalize na kipi
1. Better call Saul
2.landman
3.sopranos
4 beast in me
5. His&hers
6.dexter
7. mayer of Kingstown
8. Pluribus
Hizi zote nimezishusha mwezi huu sijui nianze na ipi hapo.
Na bado mnashea vyuma vingine mmh!!!! ulimwengu wa burudani muda mfinyu zingine zitanipita
Pamoja sana sanaNamba 7 ya moto sana
Hivi Series ya Gentlemen umeiangalia!?Bado lisaa limoja 😎
View attachment 3530178
Ongeza tu kwenye list, wewe na ndugu yako Angel Nylon list zenu nahisi zinajaza page kumi za paper za A4 😅kiukweli hapo nyingi sijaziona bado, mbona list inaongezeka, mnanichanganya walaqhi’..!🙌🏾
Hizo zote me sijazionaSeran Dr. Mariposa Carleen Depal huwa mnaangalia zile series za summer zinakuwa zimeektiwa sana majira ya summer huwa zinakuwa ni mystery, drama na romance kama 1. The summer i turned pretty 2. Outer banks 3. Pretty little liars na spin of zake a/ ravenswood b/ pretty little liars : perfectionist C/ pretty little liars original sin, 4. Cruel summer 5. 13 reason why 5. We were liars 6. I know what you did last summer. Vincenzo Jr
za uingereza huwa ni nzuri tena hasa ile lafudhi yao inapendezesha movie/seriesHizo zote me sijaziona
Me napenda drama, ziwe na action kiasi
Juzi tu nimemaliza kuangalia Black Doves, now nacheki Gentlemen zote za Uingereza
Sana. Me wanavoongea tu. Ingawa wakichanganya huelewi kitu...lolza uingereza huwa ni nzuri tena hasa ile lafudhi yao inapendezesha movie/series
Ndio si ile Kuna mwana aliambiwa awike kama jogooHivi Series ya Gentlemen umeiangalia!?
Landman aisee ni kaliNamba 7 ya moto sana
Haswa. Unai rate vp? Me ndio nimeianza. Nipo Episode ya 4Ndio si ile Kuna mwana aliambiwa awike kama jogoo
Naipa 9.4 nzuri sanaHaswa. Unai rate vp? Me ndio nimeianza. Nipo Episode ya 4
Utatuletea mrejesho mi ilinishinda hiiWakuu kwa akili zangu timamu naanza kuangalia DARK baada ya kuishindwa zaidi ya mara ×3 hatimae leo natuliza fuvu langu , hii likizo ya siku 5 nataka niimalize season zote
Mzee plot twist iliyokua humu sio mchezo kama kichwani unamadeni unadaiwa kodi , usiiangalie,Utatuletea mrejesho mi ilinishinda hii
Mimi nilikuwa naivutia bang€ kwanza mpaka nilifika EP ya mwisho sema ni series kalii sanaMzee plot twist iliyokua humu sio mchezo kama kichwani unamadeni unadaiwa kodi , usiiangalie,
Ngoja tuidownloadiImetoka
Better call Sual mzee..!?Leo nipo naongeza nyingine might manager hivyo basi weekend hii ni zero movement ni ku watch tuView attachment 3530425
View attachment 3530426
😅 Alafu kachukua season mbili full, asisahau kutupa mrejesho huenda ya kichina ni nzuri zaidi 😁Better call Sual mzee..!?
una hakika hiyo siyo ya kichina..!?