Series (Special thread)

Yeah maneno yale yalimfanya aitoe ile darkness yake nje ila Ivar kalizaliwa tayari kana roho ya 'kishetani' tangu kadogo fatilia alivyokua anawaamrisha ndugu zake, akamuharibu akili kaka ake maskini akawa teja.....

Vikings imetuonesha kufa kwa.... sio mwisho uhondo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alishikilia mizimu yake hadi mwisho
Ile series imejaa watoto wazuri sana mule season 2 kama unakumbuka Kuna yule mchungaji walimdaka akaenda kukaa home kwa kina lagetha mwana alikuwa akiambiwa joined tupige mtu 3 demu mmoja mwana akagoma akasema anabaki na yesu wake ile chansi ningepata Mimi yule lagetha simuachi pale πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€
 
Ila alikuja kumuacha yesu alipokutana na kale ka judith wakati ragnar alivyorudi tena kule england na kumuacha jamaa,😁 kale kasichana kalikuwa kanampa mitego jamaa akasahau u padri kwa muda 😁
 
Priest ilikua season 1, sema alicheza sana kukataa baadae yeye na Ragnar wakawa bestfriends na nyumba ya Lagertha ikawa ni kwake pia, sema alikuja kula tunda la yule mtoto wa Earl ambaye Ragnar alimuua baba ake kanaitwa Thyri aisee mtoto wa moto yule ana macho flan ya kukuitia gizaniπŸ˜†
 
Alifanya uzembe pale kwa lagetha angetia hata dole πŸ˜ƒπŸ˜€
 
Ila alikuja kumuacha yesu alipokutana na kale ka judith wakati ragnar alivyorudi tena kule england na kumuacha jamaa,😁 kale kasichana kalikuwa kanampa mitego jamaa akasahau u padri kwa muda 😁
Pale masta hata ningekuwa Mimi yesu namuweka pembeni πŸ˜€πŸ˜€
 
Mlioangalia unspeakable sins mnieleweshe huyu Livia anatembea na kaka yake Octavio😱
Seran Dr. Mariposa Carleen Depal huwa mnaangalia zile series za summer zinakuwa zimeektiwa sana majira ya summer huwa zinakuwa ni mystery, drama na romance kama 1. The summer i turned pretty 2. Outer banks 3. Pretty little liars na spin of zake a/ ravenswood b/ pretty little liars : perfectionist C/ pretty little liars original sin, 4. Cruel summer 5. 13 reason why 5. We were liars 6. I know what you did last summer. Vincenzo Jr
 
Auta benki ya moto sana
 
Hahaha hiyo i know what u did niliipenda jamani na hii 13 resons umenikumbusha mbali sana aisee nimeiona miaka kama 8 hivii.. binafsi napenda sana hizi steamy&soapy movies.. summer movies that bring sun and fun to ur screens🀩
 
kiukweli hapo nyingi sijaziona bado, mbona list inaongezeka, mnanichanganya walaqhi’..!πŸ™ŒπŸΎ
 
Vitu ni vingi vya kuangalia sijui nianze na kipi nimalize na kipi
1. Better call Saul
2.landman
3.sopranos
4 beast in me
5. His&hers
6.dexter
7. mayer of Kingstown
8. Pluribus

Hizi zote nimezishusha mwezi huu sijui nianze na ipi hapo.

Na bado mnashea vyuma vingine mmh!!!! ulimwengu wa burudani muda mfinyu zingine zitanipita
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…