vitu zangu! Acha nami nikaicheki aiseeeAnko umefanya siku yangu iende vizuri nimetoka kucheki tilela hapa aloo Kuna kissing ile kwenye pool pale hii Leo nacheki na mama abel namaliza mwaka kibingwa Kabisa gademiti expensivu shiti kalitoliviti
Kama ni ya kispanish itakuwa ni yenyeweNimeangalia mea culpa, hii ni nyingine?
Hapana hii ni ya Tyler PerryKama ni ya kispanish itakuwa ni yenyewe
Ngoja niitafute sasa hivi..Itafute hyo ya kispanish inaitwa culpa mia, ni nzuri
Ila ni love story ya kizungu ni step brother na sister πNgoja niitafute sasa hivi..
Woiii as long as ni fictious sio swalaπIla ni love story ya kizungu ni step brother na sister π
Mungu akutangulie πWakuu kwa akili zangu timamu naanza kuangalia DARK baada ya kuishindwa zaidi ya mara Γ3 hatimae leo natuliza fuvu langu , hii likizo ya siku 5 nataka niimalize season zote
Hiyo niliimaliza lakini nilikuwa naivutia kwanza dawaWakuu kwa akili zangu timamu naanza kuangalia DARK baada ya kuishindwa zaidi ya mara Γ3 hatimae leo natuliza fuvu langu , hii likizo ya siku 5 nataka niimalize season zote
Awe makini sanaMungu akutangulie π
Zote ni za amazon au ? Mi nazojua ni wheel of time na coutdown
Moja ni apple nyingine kama ni Disney plus hiviZote ni za amazon au ? Mi nazojua ni wheel of time na coutdown
Huwa wanazingua sana kukatisha series, ila tatizo lingine ni sisi waafrika tuna download kama tungekuwa tuna stream huenda rate ya viewers inge ongezeka na kusaidia hzo cancellation za kipuuziMoja ni apple nyingine kama ni Disney plus hivi
Mdamwingine ni kiki tu unashamgaa series baadae inaendelea mfano mzuri ni falloutHuwa wanazingua sana kukatisha series, ila tatizo lingine ni sisi waafrika tuna download kama tungekuwa tuna stream huenda rate ya viewers inge ongezeka na kusaidia hzo cancellation za kipuuzi
Mi nlijua Tz tu ndo tuna kiki kumbe hata mambele hzo ishu zipo πMdamwingine ni kiki tu unashamgaa series baadae inaendelea mfano mzuri ni fallout
Miyeyusho sanaMi nlijua Tz tu ndo tuna kiki kumbe hata mambele hzo ishu zipo π
Summary ππ