kititechsolutions
Member
- Sep 27, 2014
- 23
- 17
Zipo acha uongo sema kwako mkuu ndo hakuna kama iyo mfano Vikings, under the dome na nyingine kibaoHakuna series kama The Game of Throne!
Ni kweli ni the best series ever kwanguHakuna series kama The Game of Throne!
Umeshaitazama inahusu nnIPO mkuu inaitwa :-11.22.1963
Hivi under the dome inaendelea lini?Zipo acha uongo sema kwako mkuu ndo hakuna kama iyo mfano Vikings, under the dome na nyingine kibao
Hivi under the dome inaendelea lini?
Ooooh kumbe!! Didnt know this, nashukuru kwa taarifa mkuuAs far as I know...season 3 was and supposed to be season finale...
Aisee person of interest ni noma series namba moja yngtano bora zangu
Breaking bad..ishaisha
24
Lost
Person of interest
Game of thrones..
Hatari iyo kituperson of interest
Ooooh kumbe!! Didnt knew this, nashukuru kwa taarifa mkuu
Mmhhh hiyo grammar yako ndugu yangu inahitaji kueditiwa "didn't knew" two past tense zimefuatanaa!!!!Ooooh kumbe!! Didnt knew this, nashukuru kwa taarifa mkuu
Nashukuru sana, nitazifuatilia maana hizo ndizo haswaa zinazonikuna.You're welcome...
Mwezi march kuna series nzuri mbili zitatoka...
The Family (drama) na pia kuna The Catch (drama, thriller)...najua wewe ni mpenzi wa drama fanya kufuatilia hizo...
The Family itatoka mwanzoni mwa march nadhanj ni tar 4 ile na hiyo nyingine itakuwa mwishoni mwa march...
series yenye ubunifu mkubwa kwangu ni breaking bad, japokua prison break niliipenda ila haifikii hiiNi kweli prison break inarudi tena?, maana ilinibamba sana, Jamaa walikuwa wabunifu sana
mkuu watu hawaijui hiii...Hatari iyo kitu
Kweli kabisa wengi hawajaichekimkuu watu hawaijui hiii...
am sure wakiicheki hawatoacha....Kweli kabisa wengi hawajaicheki
Me nimeshia season 3am sure wakiicheki hawatoacha....
umechekimpaka ngapi mkuu
endelea4 mkuuMe nimeshia season 3
Sawa mkuu Nita chekiendelea4 mkuu
hutatamani iishe....
season5 inatoka nxt month