Series (Special thread)

Kuna yule mchumba wa kuitwa Ella Purnell humo kwenye fallout
Nampata vizuri, si ndio kaigiza sauti ya jinx kwenye arcane, pia hata kwenye yellowstone nahisi pia yupo sijawahi kuiona ila nasikia ni nzuri
 
Zote nimeangalia/naendelea kuangalia kasoro the 100 tu. Zote hizo ulizoziorodhesha idk what to say.. ni series kali mnooo, can't put in one word. Nikimalizana na TWD & FTWD nitaanza na hiyo.
 
Nimemaliza season zote tano za Yellowstone, naweza kusema tawile kwa Director John Linson kwa kunimalizia muda wangu kuitazama series hii yenye addiction kama Cocaine. Sasa wadau nipeni series nyingine niishi nayo
Niko na 1923 nikimaliza itabidi niendelee na yellowstone.. hii 1923 ina story na visa vizuri sana..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…