Kweli una muuliza Vin, si atakwambia kali balaa๐ ๐ , sidhani kama alishawahi kusema movie flan ni mbaya.ni nzuri Vinnie ama unataka nije hapa kukulaani..!?
hiyo hapo chini umeelezea inaitwa Black Bird..!!๐๐๐๐ Tuachie sisi hizo.
Defending Jacob your honor Fargo
Hapo huwezi kutana na mambo ya James bond ila nakuhakikishia ukituliza kalio kwenye. Sofa ni series tamu sana. Nyingine ni Ile ya bonge alikuwa naua watoto wa kike ila hakuna ushahidi wa Moja kwa Moja kumtia hatiani hivyo akapelekwa mtu jela ili ampeleleze
Vincenzo Jr hizo series ulipatia sana kuzileta humu
Vinnie hajawahi ona movie mbaya maisha yake yote..!!๐๐๐Kweli una muuliza Vin, si atakwambia kali balaa๐ ๐ , sidhani kama alishawahi kusema movie flan ni mbaya.
Ya mwaka ganiKuna THE ASSASSIN ni 8/10 s
2025Ya mwaka gani
hio ya uyo bonge inaitwaje[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Tuachie sisi hizo.
Defending Jacob your honor Fargo
Hapo huwezi kutana na mambo ya James bond ila nakuhakikishia ukituliza kalio kwenye. Sofa ni series tamu sana. Nyingine ni Ile ya bonge alikuwa naua watoto wa kike ila hakuna ushahidi wa Moja kwa Moja kumtia hatiani hivyo akapelekwa mtu jela ili ampeleleze
Vincenzo Jr hizo series ulipatia sana kuzileta humu
Ni Kali sana mwanangu ๐ni nzuri Vinnie ama unataka nije hapa kukulaani..!?
Hii mbaya Sana jana ilinipotezea muda
Imeflop hakuna jipyaHii mbaya Sana jana ilinipotezea muda
kwa mara ya kwanzaโฆ!๐Hii mbaya Sana jana ilinipotezea muda
Dalili za mwisho wa dunia ๐ ๐kwa mara ya kwanzaโฆ!๐
Kuna Moja hivi ya kihindi nimesahau jinakwa mara ya kwanzaโฆ!๐
Mambo ๐ ๐kwa mara ya kwanzaโฆ!๐
๐๐Kuna Moja hivi ya kihindi nimesahau jina
Vin alinishauri nisichome bando alimaanisha nilichokutana nacho๐
hujambo Cassano..!!Mambo ๐ ๐
Nipo gudi ๐hujambo Cassano..!!