Series (Special thread)

Napenda sana animation ila hio siwezi angalia, hyo si ya kitoto kabisa ndugu yangu πŸ˜‚πŸ˜‚
nina mdoli wa hivyo nilipewaga zawadi nampenda balaa, huwa nahama naye kila mkoa, anaitwa Mwamposa..
hivyo nikiona animation yoyote inafanana na my little pony lazima nitazame..πŸ₯Ή
Mac Alpho
 
Mimi naangalia asubui, mchana, usiku, kiufupi ndio passio yangu.
Hata mimi ndio starehe ya pili ikitoka kulala. Ila naona uzee sasa, zamani nilikuwa naweza hata kukesha natazama movie. Ila sasa hata kumaliza episode moja ni mtihani. Single movie namaliza baada ya siku tatuπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Mzee mwenzangu unaangalia katuni🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
tena na-enjoy na nacheka balaa, kitu kizuri kuhusu cartoon ni ile fantasy mzee mwenzangu, kuna vitu haviwezekani kwenye maisha ya kawaida ila kwenye cartoon yote yanawezekana hivyo kuna raha yake asikuambie mtu..

na kuna animation nyingi tu zina story line nzuri mno..!
 
Mie tom and jery na alvin and chipumunks ndo naangaliaga nikiwa bored.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…